Saturday, July 31, 2010
   
Text Size

Site Search

New Habari

Moto wawaka CCM

*Shangingi la mbunge lachomwa moto
*Viongozi watano CCM wasimamishwa
*Mtambo wa kufyatua kadi wakamatwa
*Wabunge 8 Mwanza wapumulia mashine
*Shy-Rose ampeleka puta Azzan Kinondoni
*Makalla, Murad moto, Ubungo ni kizaazaa

Waandishi Wetu, mikoani na Dar

MOTO unazidi kuwaka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo watu wawili wameuawa kwa kugongwa na gari la mbunge wa Musoma Vijijini aliyemaliza muda wake, Nimrod Mkono, katika eneo la Mkiringo, Barabara ya Musoma-Mwanza.

Kama kulipiza kisasi, kwa hasira wananchi waliofika eneo la tukio nao wameamua kulichoma moto shangingi la mbunge huyo na kuliteketeza kabisa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, ACP Robert Boaz, alisema tukio hilo lilitokea saa 2 usiku. Gari lililohusika ni lenye namba T 173 AZW aina ya Nissan Patrol, lililokuwa likitoka Mjini Musoma kwenda kijijini Busegwe ambako ndiko nyumbani kwa Mkono.

Alisema wakati wa tukio, Mkono hakuwamo kwenye gari hilo. Lilikuwa likiendeshwa na Petro Andrea (43).

Kamanda Boaz alisema waliokufa walikuwa katika pikipiki. Walitambuliwa kuwa ni Magori Magori (39), aliyekuwa akiendesha pikipiki na Wambura Kitongori (40). Wote ni wakazi wa Nyabange, wilayani Musoma.

Read more: Moto wawaka CCM

 
Move
-

THE AFRICAN

Top Headline

By Tobias Nsungwe

THE US Ambassador to Tanzania, Alfonso E. Lenhardt has said that Africa was losing out when it does not empower half of its people - namely, women and girls - to succeed intellectually...

Read More...

By Justin Damian

THE global economy is slowly rebounding from the worst of the recession but the recovery remains too anaemic to create enough jobs to replace those lost so far, a new United...

Read More...

-Outlines frugality measures
-To issue USD 500M Eurobond

By Shermarx Ngahemera

The government is adamant on the provisional budget of 11.1trn/- despite of having an obvious...

Read More...
Move
-

MTANZANIA

Top Headline

Na Mwandishi Wetu

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, ametoa ufafanuzi kuwa mawaziri wote wanaendelea kushika nyadhifa zao hadi muda mfupi kabala ya Rais Mteule kuapishwa.

Jaji Werema alitoa ufafanuzi huo Dar es Salaam...

Read More...
Moto wawaka CCM

*Shangingi la mbunge lachomwa moto
*Viongozi watano CCM wasimamishwa
*Mtambo wa kufyatua kadi wakamatwa
*Wabunge 8 Mwanza wapumulia mashine
*Shy-Rose ampeleka puta Azzan Kinondoni
*Makalla, Murad moto, Ubungo ni kizaazaa

Waandishi...

Read More...
CCM waanza kazi rasmi

*Waziri Mkuu Pinda apita bila kupingwa Rukwa
*Igunga watoa kali, wamchukulia Rostam fomu
*Aheshimu wananchi, aijaza na kuirejesha jana
*Fomu ya Dk Makongoro Mahanga yakubaliwa
*Kampeni zaanza rasmi leo, wagombea gari moja

Waandishi...

Read More...
Move
-

RAI

Top Headline

Na Ibrahimu Rwamulaza

GAZETI la Rai toleo namba 871 la Juni 3-9, 2010, lilikuwa limepambwa na habari ya majigambo ya Mbunge wa Bukoba Vijijini, Nazir Karamagi, iliyokuwa na kichwa cha habari cha ÒNitarudi Bungeni kwa kishindoÓ. Majigambo hayo yametokana...

Read More...

Na Muhingo Rweyemamu

KWA vyovyote itakavyokuwa, Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utatawaliwa na vijana, Rai inaweza kuthibitisha.

Tofauti na miaka ya nyuma ambayo siasa za uchaguzi ziliongozwa  na kutawaliwa na wazee huku vijana wakiwa wasaidizi...

Read More...
Samuel Sitta anatisha

*Ahamishia Ofisi ya Spika wa Bunge Urambo Mashariki
*Thamani yake yamduwaza Kikwete, asema nchi itafilisika

Na Waandishi Wetu

MBUNGE wa Urambo Mashariki, mkoani Tabora, Samuel Sitta, amedhihirisha kwamba yeye ni mtu wa viwango vya hali...

Read More...
Move
-

BINGWA

Top Headline

NA TIMZOO KALUGIRA

MABINGWA wa soka wa Ligi Kuu ya Bara, Simba ya Dar es Salaam wanadaiwa kuzuia kiungo wao, Abdulhalim Humud kwenda nchini Urusi kufanya majaribio ya soka la kulipwa.
Habari ambazo Bingwa imezipata kutoka kwa mtu wa karibu na mchezaji...

Read More...

NA TIMZOO KALUGIRA

MRITHI wa kipa namba moja wa Yanga, Obren Curkovic anatarajia kutua leo akiwa na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mserbia Costadin Papic.
Kipa huyo ambaye pia kutoka Serbia anaitwa Knezevic Ivan anakuja baada ya Obren kumaliza mkataba...

Read More...

*Aziomba radhi FA za England, Mexico kutokana na makosa ya waamuzi
JOHANNESBURG, Afrika Kusini
RAIS wa FIFA, Sepp Blatter ameonya kuwa Ufaransa inaweza kufungiwa kushiriki soka la kimataifa iwapo serikali itaingilia uendeshaji wa timu ya taifa.
Blatter...

Read More...
Move
-

DIMBA

Top Headline

Na Tumain Kyomo, DACICO

JESHI la Polisi linaendelea kumshikilia shabiki wa soka ambaye juzi alivamia uwanja na kwenda kumkumbatia Ricardo Kaka wa Brazil ilipokuwa ikiumana na Taifa Stars.
Tukio hilo lililoshangaza wengi lilitokea Uwanja wa Taifa...

Read More...

Na Dominic Isiji

KOCHA mkuu wa timu ya soka ya Brazil, Carlos Dunga, ameeleza kusikitishwa kwake na kuondoka kwa kocha mkuu wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, Marcio Maximo ambaye mkataba wake unakamilika mwezi ujao.

Tayari Shirikisho la Soka...

Read More...

*Anunua tiketi za Sh milioni 90 kwa ajili ya wanachama wa Yanga kuiona Stars ikikipiga na Brazil wiki ijayo

Na Mwandishi Wetu

HATIMAYE ahadi ya mdhamini wa klabu ya Yanga, Yusuph Manji imetimia na sasa wanachama 3,000 wa klabu hiyo wana...

Read More...

More Latest News

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4


cartoons



Who's Online

We have 6 guests online

Login Form